Latest Posts
Tanzania kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, kukuza utalii
Tanzania inatarajia kuungana na nchi zaidi ya 50 duniani katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, yanayochangia uharibifu wa mazingira kwa ujumla na wakati huo ikiendelea kukuza utalii. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Bodi ya Utalii Tanzania Bw….
Polisi yawasaka waliomshambulia mtoto na kumjeruhi Monduli
Naomba Mwandishi Jeshi Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawatafuta watuhumiwa waliohusika katika tukio la kumshambulia na kumjeruhi mtoto wa kike (16) (jina limehifadhiwa) mkazi wa kijiji cha Nadaale, wilaya ya Longido Mkoani Arusha. Akitoa taarifa hiyo leo…
Waandishi wa habari Manyara, UTPC waandamana uzinduzi Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara na wafanyakazi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wameongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni maalum ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kupitia vyombo…
Vyama vya siasa, wananchi wahimizwa amani uchaguzi Serikali za Mitaa 2024
KATIKA kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unafanyika kwa amani na utulivu, viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni, na maadili ya uchaguzi ili kuepuka vurugu na kuvunjika kwa amani. Jeshi la Polisi Mkoa…
JWT: Wafanyabiashara bado tuna changamoto nyingi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imesema kuwa licha ya hali ya biashara nchini kuwa nzuri na kuzidi kuimarika lakini bado kuna changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara. Hayo yameelezwa leo Novemba 25, 2024 na Mwenyekiti…