Latest Posts
Upanuzi airport umeleta majanga
Habari Mhariri, Mimi ni mkazi wa Pugu, mmoja ya wapenzi wakubwa wa gazeti la Jamhuri linaloanzia wengine wanapoishia, naamini ni kwenye uwezo ndio maana sahihi ya kauli hii (uwezo wenu ni zaidi ya wale). Napenda kuwasilisha kilio changu, na…
Ndugu Rais, kwa neno lako nitatupa wavu
Ndugu Rais, sasa siyo tena kwa kificho, ni jambo lililowazi kuwa matumaini yaliyorejewa sasa yanaanza kuyeyuka. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo giza linavyozidi kuingia. Watu japo kwa kunong’ona wanaanza kuulizana; tulichodhani ndicho, ndicho? Muhula wetu ni miaka mitano. Na huu…
India, Israel zina maslahi Africa
Wakati Afrika ikijiandaa na mkutano wake jijini Kigali, Rwanda, viongozi mbalimbali wa dunia wametembea nchi mbalimbali wakitafuta kupenyeza ajenda zao. Viongozi wakubwa waliotembelea Afrika ni pamoja na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na yule wa India, Narendra Modi. Ziara…
Tunahitaji Mandela wengine kuivusha Afrika kiuchumi
Jana, Julai 18, ni Siku ya Mandela, inayoadhimishwa kila mwaka, kama ilivyotangazwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka 2009, kutambua mchango wake katika kuutokomeza ubaguzi wa rangi Afrika Kuisini. Katika kuikumbuka Siku ya Mandela, Rais wa Kwanza wa…
Tusisahau historia hii (4)
Kwa wale wazee wenzangu nadhani kama bado wanakumbuka vile vijarida vya Sauti ya TANU, vilikuwa vinatuhabarisha mengi siku zile. Kwa mfano Sauti ya TANU na. 18 ya Desemba 16, 1957 ibara ile ya 5 Mwalimu Nyerere alisema wazi wazi kwa…
Boris: Waziri mwenye kauli tata
Siku chache baada ya Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Theresa May, kutangaza Baraza jipya la Mawaziri, amewaacha watu wengi na mshangao kwa kumteua Boris Johson kuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ikumbukwe kuwa Johnson ndiye aliyekuwa kiongozi wa kampeni kuelekea…