Latest Posts
Kila la kheri Rais Magufuli
Wiki hii, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ukiacha ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, ambao aliupata kwa kuwa Mbunge wa Biharamulo Mashariki kabla ya…
Ijue sura ya uchumi Tanzania
Leo (wiki iliyopita) gazeti la Mtanzania limeripoti kufungwa kwa Hotel kadhaa za kifahari kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kuu iliyotajwa ni hatua ya Serikali kuzuia mikutano yake kufanyika hotelini, badala yake ifanyike kwenye kumbi za Serikali na kudaiwa kodi…
Bandari safisha wahalifu
Kwa muda wa miaka minne sasa gazeti hili la JAMHURI limekuwa likiandika habari za uozo katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Katika maandishi hayo tumebainisha suala la upotevu wa makontena, vibarua hewa, usitishaji wa matumizi ya flow meter za mafuta,…
Madini yatishia amani Morogoro
Wananchi wa Kitongoji cha Epanko ‘A’, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, wamelazimika kuyakimbia makazi yao, huku wakilalamikia utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa madini ya graphite kwamba haukuzingatia mambo mengi yanayohusu maisha ya walengwa. Baadhi ya wananchi wa kitongoji hicho…
Changamoto za kufufua meli zinatisha
Pamoja na Serikali kuonesha nia njema ya kutaka kurudisha huduma za usafiri majini katika maziwa makuu, kwa kutumia vyombo vya umma yaani kuifufua Marine Services Company Limited (MSCL), tatizo bado lipo. Serikali inategemea kutoa fedha kwa ajili ya kufufua meli…
Dk. Jane: Mtafiti aliyeipaisha Gombe
Umewahi kuwaza kuhusu binti wa miaka 26, kutoka katika nchi na bara lake na kwenda bara jingine katika kile kinachoitwa kutimiza ndoto zake? Ukikutana na Dk. Jane Goodall na kumuuliza swali hilo, jibu lake ni rahisi sana, ndiyo. Ni siku…