Latest Posts
Umoja wa Afrika Yamtaka Trump Kuomba Radhi kwa Matamshi Yake
Umoja wa Afrika unasema matamshi ya yanayodaiwa kutolewa na rais wa Marekani Donald Trump kuhusu bara la Afrika ni wazi kwamba ni ya ubaguzi wa rangi. Msemaji wa umoja huo , Ebba Kalondo, amesema toni la matamshi hayo lilikera hata…
AIRTEL YASIKITISHWA NA TAARIFA YA WAZIRI MPANGO
Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki Airtel Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya Waziri wa Mpango kuhusu umiliki wa kampuni hiyo kutokuwa halali. Bharti imesema, uwekezaji wake ulifuata na kuzingatia sheria na taratibu zote za nchi. Ikumbukwe siku chache zilizopita…
Diamond Ashinda tuzo ya Soundcity MVP Nigeria
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity. Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na…
CHADEMA KUKUTANA KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI
KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward Lowassa alipofanya ziara Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Magufuli jambo ambalo lilizua mjadala ndani na nje ya…
Kingunge Arudishwa Tena Muhimbili Baada ya Mazishi ya Mke Wake
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi katika makaburi ya…
WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa…