JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dhana ya mabadiliko

Siku hizi kunasikika neno mabadiliko. Kila upande watu wanalilia mabadiliko, kila kukicha kunasikika neno mabadiliko. Wazee tumeanza kujiuliza kwani neno mabadiliko limeletwa na chama cha siasa, au ni kilio cha wananchi wote tangu zamani? Kwanini limeibuka katika uchaguzi huu? Kwa…

Tuwe tayari kuyakubali mabadiliko

Kadiri Uchaguzi Mkuu unavyokaribia, ndivyo joto lake linavyozidi kupanda miongoni mwa wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Ni kwa sababu hiyo, wagombea wakuu wa urais, Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha Umoja wa…

Nauli mpya daladala zawatesa wakazi Dar

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohamed Mpinga, amesema ni uonevu mkubwa kumtoza mtu nauli kubwa tofauti na ile iliyoelekezwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA). Kamanda Mpinga amewataka wananchi kuwa na…

Utaratibu wa kisheria unaponunua ardhi ya kijiji

Tulipoandika namna bora na taratibu maalum za kufuata unapotaka kununua ardhi, tulisema pia kuwa taratibu za ununuzi wa ardhi huwa zinatofautiana kutegemeana na  mazingira ya kila ardhi. Tukasema unaponunua ardhi kwa msimamizi wa mirathi ni tofauti na unaponunua kwa mmiliki…

Tuhoji mpango mpya wa maendeleo wa UN

Mwezi uliopita Umoja wa Mataifa umezindua mpango mpya wa maendeleo na wa kupambana na umaskini duniani kufuatia kufikia tamati kwa Mpango wa Maendeleo ya Milenia. Mpango huu mpya unajulikana kama Sustainable Development Goals, na umepitishwa na viongozi wa nchi wanachama…

Biashara za ‘Kidijitali’

Hihitaji mamilioni kuzalisha mabilioni isipokuwa unahitaji wazo, taarifa, uwezo wa kuwasiliana na ujasiriamali vitakavyokuletea mabilioni. Vile vile miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania kuna vijana wamebuni mfumo wa kukata tiketi kwa kutumia simu za mikononi. Kinachofanyika ni kwamba unakata…