Latest Posts
TAHLISO YATOA TAMKO KUHUSU WANAFUNZI WANAOTAKA MWIGULU AJIUZULU KWA KIFO CHA AKWILINA.
Mwenyekiti wa Tahlisi George Albert Mnali wa pili kutoka kulia akizungumza na baraza Kuu la Senate leo kushoto ni Katibu Mkuu wa Tahliso John Mboya kulia ni Katibu wa Baraza hilo Faidhaa Msangi na kulia ni Kaimu Makamu Mwenyekiti…
MABINGWA TIMU YA IRINGA UNITED KUUWAKISHA MKOA WA IRINGA KWENYE LIGI YA MABINGWA WA MIKOA
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na mgeni rasmi wa fainali ya ligi ya mkoa Fesail Asas wakimkabidhi kombe kampteni wa timu ya Iringa United baada ya kuwafunga Mtwivila City kwa njia ya mikwaju ya…
JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA
Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika…
JUKWAA LA WANAWAKE TANESCO LACHANGIA DAMU HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA
Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake Tanesco , Rukia Wandwi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uchangiaji Damu kwa Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanesco lilipoamua kujitolea kutoa Damu kwa jili ya Hospitali ya…
IDDI AFANIKISHA HARAMBEE YA UJENZI WA MADARASA KANISA LA AIC KALANGALALA
Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi Kassim Iddi,akiendesha Harambee ya umaliziaji wa ujenzi wa madarasa kwenye kanisa la AIC Kalangalala. Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi…