Latest Posts
Mtu Mmoja Ajitandika Risasi Nje ya Ikulu ya Marekani
Mwanamume mmoja amejipiga risasi na kujiua nje ya Ikulu ya Marekani ya White House mjini Washington, kikosi cha kumlinda rais kimesema Kikosi hicho kilisema kuwa mwanamume huyo alikaribia ua unaozunguka Ikulu katika barabara ya Pennsylvania kabla ya kuchomoa bunduki na…
MBUNGE CHATANDA ATAKA UKAGUZI TSH. MILIONI 230, UJENZI SHULE YA JOEL BENDERA SEC
Mbunge wa Korogwe Mjini Mary Chatanda (wa tatu kulia) akisikiliza taarifa inayosomwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Joel Bendera Nasson Msemwa (wa pili kushoto). Hapo ndipo Chatanda aliliamsha ‘dude’ kutaka kujua kwa nini sh. milioni 150 zimeshindwa kukamilisha mabweni…
SERIKALI YATAFUTA CHANZO CHA KUUWAWA MWANAFUNZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINIawa Kikatili Afrika Kusini
Mwanafunzi wa Tanzania aliyekuwa akisoma nchini Afrika Kusini ameuwawa kikatili Ijumaa nchini humo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga amesema wizara inafanya mawasilianao na ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ili kubaini…
AZAM FC YAITANDIKA SINGIDA UNITED BAO 1-0 CHAMAZI
TIMU ya Azam FC imeichapa bao 1-0 Singhida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Joseph Mahundi dakika ya…
Baraza la Maaskofu Katoliki lakomaa na mchakato wa Katiba Mpya
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema ili amani iendelee kuwepo majadiliano ndio nyenzo kuu itakayosaidia kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Pia limeitaka Serikali kuweka nia ya dhati na kutii kiu ya Watanzania iwapo wengi wao watahitaji mchakato wa Katiba…
CHAMWINO YAJIPANGA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI
Diwani wa Kata ya Haneti Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Mhe. Peter Elia Chidawali akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Haneti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuzuia Mimba za Utotoni ijulikanayo ‘Mimi ni Msichana Najitambua Elimu…