JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi wahaha kumlinda Diwani Sandali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Dar es Salaam, wamekuwa na kibarua kigumu baada ya kuendelea kulinda nyumba ya diwani mteule wa CCM Kata ya Sandali, Abel Tarimo. Tarimo anaelezwa kuwa hapendwi na wananchi, kitendo kinachowafanya watake kuvamia…

Mke wa Lowassa kutua bungeni

Jina la Regina Lowassa – Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa limo kwenye orodha ndefu ya makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) watakaoteuliwa kuwa wabunge wa Viti Maalumu kwa mujibu wa Katiba ya nchi ya mwaka 1977….

Hongera Dk. John Magufuli

Dk. John Magufuli, wiki hii anaapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaanza kazi ngumu aliyoiomba kwa ridhaa yake mwenyewe, ya kuwatumikia Watanzania wote. Kwenye kampeni zake, Dk. Magufuli, aliomba kura huku akiahidi kuwa…

Yaliyompata Nixon kumrudia Magufuli?

Wakati hekaheka za Uchaguzi Mkuu wa 2015 zimeisha hapa nchini, kwa washindi kupatikana ikiwa ni pamoja na mshindi wa kiti cha urais na chama tawala, nimegundua kwamba kumbe bado tunayo mengi ya kujifunza katika nyanja ya siasa. Nimeliona hilo baada…

Sababu za Ukawa kushindwa uchaguzi

Uchaguzi Mkuu wa tano katika Tanzania ya Vyama vingi umemalizika. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa uchaguzi huu ambao kila mtu (hata mwanachama wa Chama cha Mapinduzi  au CCM) aliamini kuwa Ukawa ungeshinda. Kulikuwa na sababu nyingi zilizowaaminisha wananchi…

Haki za binadamu bila haki za wazee – 2

Sehemu ya pili ya kumbukumbu ya maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu ya Afrika ilifanyika Jumatano Oktoba 21, 2015 kwenye Hoteli ya New Afrika. Siku hiyo mambo yalinoga kweli.  Kwanza, mgeni rasmi alikuwa Rais mstaafu wa Awamu ya pili,…