Latest Posts
HUYU HAPA KOCHA MPYA WA SIMBA SC
Baada ya kuhangaika huko na kule ikisaka Kocha wa kujaza nafasi ya Joseph Omong kuifundisha simba kwa msimu wa 2017/2018 , hatimaye wekundu wa msimbazi wamelamba dume na kufanikisha kutia sahihi kwa kocha wao mpya, Pierre Lechantre (miaka 68), raia…
KESI YA SADIFA YAPIGWA KALENDA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeiharisha kesi inayomuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis anayetuhumiwa kwa rushwa. Sadifa Juma Khamis alikamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa tuhuma za Rushwa akidaiwa kuwapa wajumbe…
ZARI THE BOSS LADY ANASA NYENDO ZA DIMOND PLUTNUM
Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao. Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz…
CHADEMA MGUU MMOJA NDANI, MGUU MMOJA NJEE JIMBO LA SIHA
Moshi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejitosa kusimamisha mgombea jimbo la Siha, kuchuana na mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel. Dk Mollel alikuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema hadi Desemba 14 mwaka jana, alipojivua uanachama Chadema na kujiuzulu…
WALIOISHIA DARASA LA 7 NA WENYE VYETI FEKI HATIMA YAO KUJULIKANA MACHI MWAKA HUU
Hatma ya watumishi walioondolewa kazini na serikali kutokana na vyeti feki, itajulikana mwezi machi mwaka huu. kauli hiyo imekuja baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, akiwemo Waziri wa Ofisi ya…