Latest Posts
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Na Lookman Miraji, Jamhuri Mwdia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya mchezo kuogelea imefanikiwa kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya Afrika kanda ya 3 yaliyomalizika hapo jana jijini Bujumbura nchini Burundi. Timu hiyo ya Tanzania imeshika nafasi hiyo…
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Afunga kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga
Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo
Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM Mbunge wa…
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM
Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu
Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)…
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Pwani na kuwaasa wananchi kuwapigia kura wagombea wanaotokea…
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar e Dalaam Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi mbele ya AL Hilal ya Sudan kwa mabao 2-0. Yanga imepoteza mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika uwanja wa Benjamin…