JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Siku zote ubabe unagharimu (3)

Siku ya kupiga kura Novemba 2, mwaka huu, Dar es Salaam kulikuwa na utulivu na amani kweli. Ni matokeo ya kuitika mwito wa Rais na utiifu wa uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Watu tulipiga kura tukarudi…

Hotuba iliyokosekana kwa miaka 10!

Kwa miaka mingi tulikosa kuisikia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyojaa matumaini. Wiki iliyopita tuliisikia hotuba ya Rais akilihutubia Taifa kupitia Bunge. Wananchi waliosikiliza, waliburudika, lakini wapo wanaotia shaka. Hilo ni jambo la kawaida. Wanatia shaka…

Yah: Mabadiliko yaliyonadiwa kwenye kampeni ndiyo haya?

Nianze kuwapongeza Watanzania wote kuingia katika awamu nyingine ya tano ya uongozi wa nchi hii, tukiwa salama salimini na amani yetu ikiwa ipo pasi na maombi mabaya ya watu wa nje na ndani ya nchi yetu, katika kutuombea tupatwe na…

Tumechezewa, tumechakachuliwa, sasa yatosha

“Mmetuchezea vya kutosha, muda sasa umekwisha. Mmetuchakachua vya kutosha, muda wa kuchakachuana umekwisha. Nataka iwe kazi tu…” Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Rais John Pombe Magufuli, alipokuwa anazindua Bunge la Muungano la Tanzania la 11 Ijumaa, Novemba 20, 2015,…

Tunajaribu kutabiri yasiyotabirika

Baada ya uchaguzi wa Rais John Magufuli, mada iliyotawala mazungumzo maeneo mengi ya Tanzania ilikuwa nani atateuliwa kuwa Waziri Mkuu. Juma lililopita nilikaa kwenye mazungumzo ya aina hiyo na wanakijiji wenzangu na majina mengi yalitajwa. Majina mengi hayakupewa nafasi hata…

Hati ya nyumba yako inapoharibika au kuchakaa

Hati kwa maana ya hapa ni hati za nyumba na viwanja, kwa ufupi ni hati za ardhi. Kwa kuwa hati ni karatasi sawa na karatasi nyingine basi huweza kuharibka au kuchakaa. Huweza kuchakaa kwa sababu mbalimbali za kibinadamu. Inaweza kunyeshewa…