JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania kuna demokrasia gani? (3)

Profesa Ibrahim Lipumba alikaa chini akatafakari akaamua kubwaga manyanga, akaandika barua ya kjiuzulu uenyekiti wa CUF. Angebakia na msimamo wake huo huo – ndio kanuni za uungwana – “stick to you words”. Ghafla anasema hee jamani eee mie bado nautaka…

Nampongeza Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshatimiza mwaka mmoja tangu ashike wadhifa huo. Ukimtazama usoni, unamuona Majaliwa tofauti na yule aliyeonekana siku jina lake likisomwa bungeni Dodoma kushika wadhifa huo. Huyu ni Majaliwa aliyejaa msongo wa kazi nyingi alizokubali kuzibeba kwa ajili…

Yah: Maoni ya wananchi ya miswada mbalimbali ya sheria inayopitishwa

Kwa kawaida, Mtanzania ninayemjua mimi, kalelewa katika mazingira ya kuhoji kila kitu hata ambacho jibu lipo wazi, atahoji ili apate jibu la pili ambalo halina tofauti na jibu la kwanza, Mtanzania anaitumia vizuri demokrasia hata kama anajua wazi kuwa inamaliza…

Sina kasi na viwango, ‘that’s life’

Nalia machozi yanimwagika. Mwili umechoka; umenyong’onyea kuondokewa duniani na Mnyamwezi mmoja msomi, mwanasheria, aliyeendelea na mwenye hadhari na ulimi wake wakati akiwa katika maongezi. Ni Mnyamwezi mpenda watu, mchapakazi, mvumilivu na mwenye msimamo katika kutetea hoja njema au mbaya. Mjanja…

Wazanaki na uchawi, na miiko ya wazee wa jadi

Hata kama huamini juu ya uchawi na ushirikina, huwezi kuishi ndani ya jamii nyingi za Kiafrika na usisikie taarifa juu ya masuala haya. Miongoni mwa kabila la Wazanaki imani hizi zipo. Ilikuwa desturi anapougua au kufariki mtu jambo la kwanza…

Wadau waombwa kusaidia mchezo wa kuogelea

Wadau na wapenzi wa mchezo wa kuogelea nchini, wameombwa kutoa michango yao ya hali na mali kuhakikisha mchezo huo unapiga hatau kwa manufaa ya Taifa pamoja na changamoto zilizopo ikiwamo uhaba wa vitendea kazi. Akizungumza na JAMHURI wakati wa kufunga…