Latest Posts
Tanzania iongeze kasi ukuaji uchumi – 2
Na Frank Christopher Katika makala iliyopita Toleo Na 335 mwandishi alieleza misingi ya ukuaji uchumi kwa taifa lolote duniani, ambayo Tanzania haiwezi kuikwepa. Leo tunakuletea sehemu ya pili ya makala hii ya kiuchumi inayodadishi mfumo, mkondo, faida na hasara zinazotokana…
Watoto wanahitaji ulinzi wetu
Na Alex kazenga. Wiki iliyopita mitandao yakijamii ilitawaliwa na video fupi ikimuonyesha mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 5 akielezea jinsi alivyo toa taarifa kituo cha polisi na kufanikiwa kumzuia baba yake kuuza shamba la familia. Video hiyo fupi…
ADHANA IMEPIGWA MARUFUKU KIGALI RWANDA, INASUMBUA WANANCHI
Marufuku ya matumizi ya adhana{ Wito kwa Waislamu kuhudhuria maombi} katika tarafa moja ya mji wa Kigali nchini Rwanda imepingwa vikali na baadhi ya Waislamu jijini humo. Utawala katika tarafa ya Nyarugenge kunakopatikana jamii kubwa ya Waislam nchini humo umebainisha…
BALCELONA YAIDHIBU CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI
Baada ya Manchester United Juzi kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi kwa kufungwa na Barcelona Mabao 3-0, mabao ya…
Mbarali waomba zahanati, hospitali
Na Thompson Mpanji, Mbeya Kutokana na changamoto ya ukosefu wa huduma ya Afya, miundo mbinu mibovu ya barabara na madaraja katika vijiji vingi vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani hapa baadhi ya wagonjwa wanaoishi mpakani wanalazimika kutembea umbali mrefu kwenda kutibiwa…