Latest Posts
Hatukumtendea haki Komredi Fidel Castro
Mwaka 2006 nilipata fursa adhimu ya kuzuru nchini Cuba. Hii ni miongoni mwa safari nitakazokumbuka daima. Nimekuwa miongoni mwa wafuasi wa siasa za Fidel Castro na wana mapinduzi aina ya Che Guevara. Tangu nikiwa shule ya msingi nilipenda mno kupata…
Yah: Sasa tumenyooka mkuu tukunje utupange utakavyo
Tarehe kama ya leo mwaka jana tulianza kufurahia madaraka yako, uliisha tumbua majipu kadhaa ambayo wengi wetu tuliamini kwamba mambo yanakwenda vizuri kabisa, kwa upande wangu bado naamini ili furaha bado haijapotea. Tarehe kama ya leo ulikuwa ukingoni kulitangaza baraza…
Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika
Ijumaa hii ya tarehe 9 Disemba, Watanzania penye majaliwa tutaungana pamoja kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Siku ya kukumbuka kushushwa bendera ya kikoloni ya Waingereza na kupandishwa bendera ya Uhuru ya taifa jipya la Watanganyika. Ni…
Fursa kwa wabunifu chipukizi tasnia ya sanaa
Nimepata fursa hivi karibuni kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa atamizi ya sekta ya ubunifu katika nyanja za muziki, filamu, na mitindo iliyofanyika Dar es Salaam. Mradi huo, ambao unanuwia kunufaisha wadau wa tasnia ya sanaa waliopo ndani…
Ajali yateketeza kikosi
Wiki iliyopita familia ya soka duniani imepata pigo, baada ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu 81, wakiwamo wachezaji wa klabu ya Chopecoense ya nchini Brazil na kuacha simanzi kubwa Ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Brazil ilianguka wakati…
Prof. Ndalichako amvaa Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameingia katika mapambano ya wazi na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako kwa kumpa maagizo, ambayo ameyakataa. Makonda amemwagiza Waziri Prof. Ndalichako asiwasikilize wazazi wa wanafunzi wanaosoma…