Latest Posts
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 16, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,16, 2018 nimekuekea hapa
Wafukuzwa Kwenye Ardhi Yao Kupisha Wachina
Wananchi katika Kijiji cha Nyasirori, Butiama mkoani Mara, wanalalamika kuondolewa katika ardhi yao kupisha kampuni ya uchimbaji dhahabu bila kulipwa fidia. Wameuomba uongozi wa juu wa Serikali kufika Nyasirori kuona namna walivyoonewa na kampuni hiyo ya ZEM Co. Ltd ambayo…
Watu 20 Wameuawa Katika Mapigano Libya
Watu 20 wameuawa kufuatia mapigano yaliyotokea kati ya makundi ya wanamgambo hasimu katika mji mkuu wa Libya, Tripoli. Mapigano hayo yamesababisha kusitishwa kwa safari za ndege, katika uwanja wa kijeshi wa Maitiga, ambao ndio wa pekee wa kimataifa mjini Tripoli….
TFRA: WASAMBAZAJI WALICHANGIA KUCHELEWESHA MBOLEA
Wakati Rais John Magufuli `akimkaanga’ Waziri wa Kilimo, Dk Charles Tizeba, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeokoa jahazi kwa kuchangia usafirishaji wa mbolea kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Rukwa. Januari 8, mwaka huu, Rais Magufuli aliagiza…
LOWASSA ALIWASHTUA WENGI KWENDA KWAKE IKULU
Mwanasiasa aliyetikisa taifa katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015, Edward Ngoyai Lowassa, mwaka huu wa 2018 ameuanza kwa kishindo, baada ya ghafla kumtembelea Rais John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam hali iliyozaa fukutoa kwa upinzani na kicheko ndani ya CCM….
MAMA SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA AFYA NA MAISHA BORA
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitoa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika…