Latest Posts
Kilichomng’oa bosi Jeshi la Magereza
Aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja, hakuomba kujiuzulu kwa ridhaa yake, JAMHURI limethibitishiwa. Badala yake, kiongozi huyo amefikia hatua hiyo baada ya kuwapo tuhuma kadhaa za matumizi mabaya ya madaraka zinazomkabili. “Ziara ya ghafla ya Rais…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 24
Viongozi Z’bar wawajibishwe (a) ADUCO INT. B.V. Ushahidi unathibitishakuwepo kwa mizengwe katika kupatiwa kazi kampuni ya UDUCO INT. B.V. kwamba licha ya Waziri kukubaliana na Katibu Mkuu wa Wizara awali kuwa kutokana na zabuni za ADUCO kuwa juu zaidi ya…
Bomu la Dangote
Wakati joto likizidi kupanda kuhusu hatma ya kiwanda cha saruji cha Dangote kilichoko Mkoani Mtwara, JAMHURI limebaini kuna mgogoro mkubwa wa uongozi ndani ya kiwanda hicho, lawama zikielekezwa kwa serikali. Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Dangote, ambaye amezungumza na…
Watumishi Wizara ya Ardhi wapora ardhi
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wanatuhumiwa kutumia nyadhifa zao kupora shamba la hekari 74.2 mali ya Mwenegowa Mwichumu mkazi wa Kibada Kigamboni Dar es salaam. Kabla ya uporaji huo shamba hilo lililokuwa na…
Tumetimiza miaka 5
Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….
Rais Magufuli bado hujafunguliwa ukurasa wa jela ukausoma
Nilimsikiliza Rais John Pombe Magufuli aliposema na Askari Magereza pale Ukonga, pia nilikuwako gerezani Ukonga wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea gerezani na kutoa kauli tete “pasua raha ndani ya taabu.” Kikwete hakuwakusudia wafungwa mabaya isipokuwa aliukumbuka usemi walioutumia wapiganaji…