JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tupigane vita hii kwa umoja

Waandishi wa habari hutakiwa wazingatie miiko na maadili ya uandishi wanapofanya kazi zao. Baadhi ya mambo wanayotakiwa kuyazingatia ni kuhakikisha wanatenda haki sawa kwa wanaowaandika. Kwa maneno mengine ni kwamba wanatakiwa watoe fursa ya kusikiliza kila upande unaoguswa kwenye habari…

Yah: Ukisikia ukunga porini jua jiwe limemkuta mkweo

Mwanangu John, sasa  ni mwezi mmoja tangu tulipoachana na ukawa mtu wa Serikali, ule uwezo niliokuwa nao wa kuongea na wewe jioni kibarazani haupo tena, nikitaka kukuona ni lazima nipite mageti saba ya walinzi ambao watajiridhisha na sababu zangu za…

Desemba 9 na usafi wa makazi

Kesho ni Jumatano Desemba 9. Tarehe kama hii mwaka 1961 nchi ya Tanganyika ilipata Uhuru wa bendera baada ya kutawaliwa kwa mabavu kwa kipindi cha miaka ipatayo 77 na wakoloni wa Kijerumani na wa Kiingereza. Kwanza ni Wajerumani waliotawala kwa…

Ijue biashara ya uwakala kisheria

Wapo mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala. Kwa sasa biashara ya uwakala ni kubwa mno. Wapo mawakala mitandao ya simu kama Tigo, Airtel, Vodacom n.k, mawakala kampuni za usafirishaji kama mabasi, malori n.k, na kampuni nyingine nyingi. Mtindo wa biashara…

Athari za elimu bila pesa

Akifafanua madhumuni ya elimu kwa Taifa katika kuielezea sera ya Elimu ya Kujitegema, Rais Julius Kambarage Nyerere alitamka yafuatayo: “Kurithisha kutoka kizazi kimoja hadi kazi kingine maarifa na mila za Taifa, na kuwaandaa vijana wawe tayari kuchukua nafasi zao katika…

Umejiandaaje na ‘kibano’ cha Magufuli kiuchumi?

Wapendwa wasomaji, ninawasalimu kwa salamu za upendo. Naamini kwamba wengi wenu mnaendelea kufurahia, kushangaa, kupigwa na bumbuwazi ama kuchanganyikiwa kwa hatua mbalimbali zinazochokuliwa na Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, au…