JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Siku zote ubabe unagharimu

Jumapili Oktoba 25, 2015 tulikuwa na uchaguzi wa kihistoria hapa nchini. Nimeuita uchaguzi wa kihistoria kwa namna ulivyoendeshwa.   Baada ya Tume ya Uchaguzi kupuliza kipenga Agosti 22, 2015 kuashiria mwanzo wa kujinadi wagombea katika Uchaguzi, kampeni zilianza kwa kishindo.  Haijawahi…

Rais Magufuli nuru mpya (2)

Rais Dk. John Magufuli, ameianza wiki yake ya kwanza ya uongozi kwa kuwapa faraja Watanzania. Toleo lililopita tuliandika mambo kadhaa ambayo tuliamini Mheshimiwa Rais angeanza nayo. Baadhi ya mambo hayo ni kuwashughulikia wakwepa kodi wakuu, kupigwa marufuku kwa safari za…

Yah: Sasa ni kazi tu, majungu tupa kule

Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa namna ambavyo tumejipangia maisha ya uongozi na kuwa mfano mzuri wa kuigwa barani Afrika, tunatoa fundisho kwa wengine kwa kupitia mifano halisi, rais anaondoka madarakani akiwa na furaha tele moyoni na kumkabidhi mwenzake kijiti cha…

Utamaduni wa kupokezana madaraka udumishwe

Naam! Alhamisi ya Novemba 5, 2015, Watanzania tuliwashangaza, tuliwaelimisha na tuliwathibitishia Walimwengu kuwa madaraka ya kisiasa yanawezekana kuachwa kwa kupokezana kwa hiyari, upendo na amani bila ya kutumia ubabe, ung’ang’anizi wala mtutu kumwaga damu ya Wananchi. Uthibitisho huo ulionekana mbele…

Rais Magufuli, tunaomba iwe kazi kweli kweli

Kauli ya kampeni ya urais ya Rais John Magufuli ilikuwa: “Hapa ni kazi tu!” Ni kauli nzuri kama haiishii kwenye kampeni pekee. Kwenye moja ya hotuba zake za kampeni alitamka: “Deni langu kwenu ni kufanya kazi.” Watanzania wote wanasubiri kutimizwa…

Bora afya kuliko mali

Afya au siha (hygiene au health) ni hali ya mwili (physically) na akili (mentally) ilivyo kwa kadiri ya kila mtu binafsi anavyojisikia au kuonekana kwa wakati tofauti. Afya inahesabika kuwa ni njema au nzuri mtu anapokuwa timamu, thabiti, na bila…