JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WAZIRI MKUU AMKABIDHI MHANDISI WA MAJI KWA NAIBU WAZIRI TAMISEMI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Mhandisi Obetto Sasi kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Bw. Josephat Kandege baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Ametoa uamuzi huo jana jioni (Jumanne,…

RONALDINHO GAUCHO ATUNDIKA DALUGA RASMI

NGULI wa soka nchini Brazil ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia Balon d’Or mwaka 2005, Ronaldo de Assis Moreira maarufu kwa jina la Ronaldinho ametagaza rasmi kustaafu kusakata kabumbu. Kwa mujibu wa BBC, aliyethibitisha kustaafu kwa…

WAHUJUMU WA MIRADI YA MAJI MARA KUCHUKULIWA HATUA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawachukulia hatua watendaji wote watakaobainika kuhujumu ujenzi wa miradi ya maji mkoani Mara. Hatua hiyo imetokana na kutoridhishwa na utekelezwaji wa ujenzi miradi ya maji katika baadhi ya halmashauri za mkoa huo,hivyo kuwacheleweshea wananchi…

Halmashauri ya Butiama Inavyotafunwa

NA MWANDISHI WETU, MUSOMA Upotevu mkubwa wa fedha umebainika kuwapo katika Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, baada ya Kamati iliyoundwa kufuatilia mapato kubaini wizi na udanganyifu wa kiwango cha juu. Kamati hiyo ya watu 13 iliundwa mwaka jana na kuongozwa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 17, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,17, 2018 nimekuekea hapa                                    …

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI SITA IKULU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea  hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Mhe. Mhe.Sahabu Isah Gada  Ikulu jijini Dar es salaam  Januari 16, 2018.    Rais wa Jamhuri…