Latest Posts
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SITA
Nimekwenda katika kijiji kimoja Iringa. Nadhani safari hiyo tulikuwa na Mheshimiwa Ng’wanamila – hii anayoimba anasifu mambo aliyojifunza Njombe na Iringa. Tumekwenda katika Kijiji kimoja cha Iringa- ni kijiji cha Waziri wa Kilimo, Joseph Mungai. Akanipeleka Joseph pale au tuseme,…
NUKUU SEHEMU YA 329
Nyerere – Siasa za ndani “…Mtu yeyote anayetuvurugia umoja wetu si mwenzetu. Hata angevaa ngozi ya kondoo huyu ni mbwa mwitu hatufai hata kidogo.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilichukuliwa katika ukurasa wa 111 katika kitabu cha Nukuu…
WAHUSIKA WA KUPEPERUSHA BENDERA KWENYE MELI WAPANDISHWA KIZIMBANI
Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha Bendera ya Tanzania bila kibali. Mbali ya Haji, mshitakiwa mwingine ni mfanyabiashara…
BREAKING NEWS: THEO WALCOT ATUA EVERTON
WINGA wa Arsenal, Theo Walcott amefuzu vipimo vya afya na kukubali dau la kujiunga na Klabu ya Everton. Taarifa zinaeleza, Walcott alionekana jana mchana akiingia kwenye uwanja wa mazoezi wa Everton maarufu kama , Finch Farm na leo amefuzu vipimo….
ELIMU YA URAIA INAPOKUWA MZIGO KWA WANANCHI
Na Prudence Karugendo Ni jambo la kushangaza kwamba Tanganyika changa, kabla haijaungana na Zanzibar kuwa Tanzania, wananchi walikuwa waelewa wa elimu ya uraia. Na kama alivyokuwa akisema mara kwa mara Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ni kwamba jambo hilo…
MTOTO CHINI YA MIAKA 18 ANAVYOWEZA KUSHITAKIWA MAHAKAMANI
NA BASHIR YAKUB Watoto ambao hawajafikisha umri wa miaka 18 nao hushitakiwa mahakamani. Wanaweza kushitakiwa kwa jinai au madai. Isipokuwa tofauti na wakubwa ni kuwa hawa wanazo Mahakama zao. Sheria Namba 21 ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 97(1)…