JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TAWA: Isiwe tu kulinda wanyamapori

Kwanza niipongeze Wizara ya Maliasili na Utalii na hasa Idara ya Wanyamapori, kwa kuanzisha Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania inayojulikana kwa Kiingereza kama Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA).  Kuna sababu kadhaa za kuipongeza Wizara na Idara kwa kuanzisha TAWA,…

Baraza liwe na Mawaziri 12

Bila ya shaka, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, atakuwa anasuka Baraza lake la Mawaziri. Anamteua Waziri Mkuu na kulifikisha jina lake bungeni kwa uthibitisho, kama inavyohitaji Katiba, ili amsaidie katika kazi…

Magufuli: Nini Muhimbili njoo Karagwe

Afya ndiyo msingi wa uwepo wa maisha ya binadamu. Kwa mujibu wa  ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika mkutano wake wa Juni 19-22, 1946 na kusainiwa na wawakilishi wa nchi 61 duniani. ‘Afya ni hali…

Mabadiliko wanayohitaji Watanzania

Uchaguzi Mkuu wa Tano nchini Tanzania chini ya mfumo wa vyama vingi, umemalizika na Tanzania imepata Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Ajenda kuu ya wapinzani katika uchaguzi wa mwaka huu ilikuwa mabadiliko. Wakubwa ndani ya…

Dk. Magufuli usiwaige hawa

Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli, umeingia madarakani huku ukiachwa katika kipindi kigumu cha uchumi, wananchi wengi wakikabiliwa na umaskini wa kutisha. Wakati unaomba ajira kwa Watanzania, kumbuka ulijinadi kwamba utawaondolea umaskini wao kwa kila kijiji kuambulia…

Kidole kimoja hakivunji chawa

Kampeni na uchaguzi vimeisha salama. Namshukuru Mungu kwa kutupatia hekima na busara zilizofanikisha kushiriki mchakato huu kwa amani na utulivu pamoja na changamoto zilizojitokeza. Katika uchaguzi wa mwaka 2015, tumejifunza na kuona namna uchaguzi huu ulivyokuwa na ushindani mkubwa kuliko…