Latest Posts
KAMANDA MAMBOSASA ATOA UFAFANUZI KUHUSU WAVAA VIMINI NA WANYOA VIDUKU
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema hakuna sheria kuwakamata watu wanaovaa nguo fupi au kwa wanyoa viduku sisi kazi yetu ni kusimamia sheria na mimi siwezi kufanya kazi nje utaratibu wa sheria za nchi. Lakini…
BAADA YA YANGA KUKAZIWA NA MWADUI LEO NI ZAMU YA SIMBA DHIDI SINGIDA UNITED UWANJA UHURU
Wachezaji wa simba wakiwa mazoezini Kikosi cha Singida United Iktakachozeza na Simba Sc Leo Kikosi cha Simba Timu ya Yanga jana ilitoka sare ya kutokufunga na timu ya Mwadui, na leo ni zamu ya Simba kukabiliana na timu Singida…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 18, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,18, 2018 nimekuekea hapa
WAZIRI NDALICHAKO: WALIOFUKUZWA KWA KUSHINDWA KULIPA MICHANGO WARUDISHWE SHULE
Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amewaagiza Wakurugenzi wa Elimu kuhakikisha kuwa, wanafunzi wote waliofukuzwa shule kutokana na kushindwa kutoa michango mbalimbali warudishwe mara moja na wazazi waliotoa michango yao warudishiwe. Ameyasama hayo leo baada kupokea agizo kutoka kwa Rais…
HUU HAPA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU UCHAGUZI JIMBO LA KINONDONI
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa, bado msimamo wake na vyama vingine vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuhusu kutokushiriki uchaguzi wa marudio katika jimbo la Kinondoni na sehemu nyingine na kwamba msimamo wao uko pale…
KATIBU UVCCM IRINGA MJINI ANUSURIKA KUFA BAADA KITU CHENYE MLIPUKA KURUSHWA KITANDANI KWAKE
Baadhi ya vitu vilivyoteketea kufuatia mlipuko huo. Hivi ndivyo huo mlipuko ulivyoteketeza vitu hivyo KATIBU wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Alophance Myunga amenusurika kifo baada ya kitu chenye mlipuko kurushwa dirishani kwake na kufikia kitandani…