JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Madeni ya Taifa na mchakato wake

“Ninyi mu wasaliti na wezi; nimekusudia kuwang’oa na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu nitawang’oa. Kama watu wangelikuwa wanajua dhuluma kali iliyopo kwenye mifumo yetu ya kifedha na kibenki, basi kungelikuwa na mapinduzi kabla ya asubuhi.”   Andrew Jackson, Rais wa Marekani;…

Simulizi ya bomoabomoa

Sasa ni mwezi tangu vilio vilipotawala Alhamisi, Desemba 17, 2015 baada ya wakazi wa maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam kukumbwa na bomoabomoa, ambako nyumba zaidi ya 100 zilibomolewa katika maeneo ya Bonde la Mkwajuni na Magomeni katika Manispaa ya…

Kabla ya kutuma majeshi Burundi tuangalie Somalia

Mwishoni mwa mwaka jana Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustino Mahiga, alifanya ziara ya siku moja nchini Burundi ili kuangalia hali ya huko kuhusu vurugu zinazoripotiwa. Aliporudi alieleza kuridhishwa na “hali ya…

Zanzibar koloni la Tanganyika?

Wakati Zanzibar ikikumbwa na mzozo wa kisiasa baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka jana kwa madai ya kuwepo kwa dosari mbalimbali, hali ya mambo imekuwa…

Huduma ya Kwanza: Kuumwa na wadudu

Mwathirika wa ajali huhitaji ahudumiwe haraka, tena kwa muda mfupi, huku mipango ikiwa inafanywa hadi atakapotokea daktari au atakapopelekwa zahanati ama hospitali kwa tiba inayostahili…   Kuumwa na Vidudu Miumo ya vidudu huwapa watu wengine madhara makubwa zaidi ya wengine….

‘Wandu makoko’ (2)

Kwa kukazia uanzilishi mzuri wa chombo kile, akiteua mawaziri wawili vijana aliowaamini – Maalim Seif Shariff Hamad (Elimu) na Haji Mlinde (Waziri Ofisi ya Rais, Vikosi vya SMZ) waje bara kuzuru JKT waone shughuli zinavyoendeshwa na vijana. Nia ilikuwa wakirejea…