JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Matajiri 3 mbaroni kwa mauaji Moshi

Hatimaye watuhumiwa watatu kati ya watano wa mauaji ya John Massawe, katika Kijiji cha Kindi, Kibosho mkoani Kilimanjaro, wamekamatwa. Masawe aliuawa kikatili Juni 9, 2009 kijijini hapo, lakini baadaye watuhumiwa wa mauaji hayo wakaachwa. Waliokamatwa na kuwekwa rumande katika Kituo…

Zavala ‘wasotea’ umeme miaka 7

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani, limesema wananchi wa Zavala, Kata ya Chanika wataanza kupelekewa huduma ya umeme wiki hii. Meneja wa Tanesco Mkoa wa Pwani, Injinia Martin Madulu, ameithibitishia JAMHURI kuwa maandalizi yote kwa ajili ya kazi…

Safari ya kuelekea demokrasia ngumu

Wiki hii nianze kwa kukuomba radhi msomaji wangu kwa kutokuwapo kwenye Safu hii wiki iliyopita. Nilipata dharura, ila namshukuru Mungu kuwa imekwisha salama na maisha yanaendelea.  Leo nimejaribu kuandika somo pana kidogo linalohusu demokrasia katika nchi yetu. Naandika somo hili,…

Tujadili kwa kina mgogoro wa Zanzibar

Kuna huu mgogoro wa Zanzibar. Mtu akiuangalia juu juu mgogoro huu atauona kwamba ni mwepesi na atashangaa kwa nini haumalizwi mara moja. Wapo watu watakaokwenda mbali zaidi (na kwa kweli tayari wameshakwenda mbali zaidi), wanajiuliza kwa nini Rais wa Jamhuri…

Serikali ibadili mbinu ukusanyaji kodi

Kwa muda wa mwezi mmoja tumechapisha habari zinazohusiana na ukusanyaji wa kodi. Tunatambua na tunapenda kupongeza juhudi zilizofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotekeleza kwa ufasaha maelekezo ya Rais John Pombe Magufuli ya…

Afrika inateswa na mkoloni mweusi

Mwasisi wa taaluma ya ‘Public relation Arthur Page’ alipata kuandika haya; “Unaweza kutumia miaka 20 kujenga haiba yako mbele ya jamii lakini sekunde tano tu zinatosha kukiharibu kile ulichokijenga kwa miaka 20’’.  Haiba iliyojengwa na wapigania uhuru wa bara la…