JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Mnajiita Wazanzibari ndani ya Muungano’

Hakika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa Tanzania visiwani (Zanzibar) imepata wakati mgumu kutokana na uchaguzi wa Oktoba 25, 2015 uliojaa vituko vingi kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) chini ya mwavuli wa UKAWA….

Nyundo ya Prof. Ndalichako kwenye GPA

Januari 20, mwaka huu, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, alitoa taarifa kuhusu matumizi ya GPA katika upangaji madaraja ya ufaulu. Kwa kuzingatia umuhimu na nia njema ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kufufua na…

TOEFL na IELTS katika udhamini ughaibuni

Unapojipangakuomba udhamini ughaibuni kuna gharama lazima uingie. Gharama hizi haziepukiki. Gharama hizi zimekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi mno. Na ndiyo maana napenda kutoa ushauri huu kuwa kama unataka udhamini ughaibuni kuna gharama haziepukiki kamwe; kuziepuka maana yake ni kukubali…

Bodaboda waomba kumuona Rais Magufuli

Waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda jijini Dar es Salaam wamesema wananyanyasika kupita kiasi kutokana na kukamatwa hovyo na askari na watu wasiofahamu ni kina nani, hivyo wanaomba Rais John Magufuli aingilie kati kuwaokoa. Wakizungumza na JAMHURI mwishoni mwa wiki, wadereva…

Kwanini mabeberu wanachangamkia sana Burundi?

Habari za hivi majuzi zinasema suala la Burundi litajadiliwa na Kamati Maalum ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linaloshughulikia utatuzi wa migogoro. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Abdullah Mwinyi amesema ujumbe wa Rais Pierre Nkurunziza umekubali kuhudhuria mkutano huo utakaofanyika mjini…

‘Wandu makoko’ (3)

Turudi enzi za Mzee Jumbe, Rais wa Awamu ya Pili, huko Visiwani. Utawala wake ulidhamiria kuleta mageuzi makubwa kule Visiwani. Kwanza alifikiria urais kamili hivyo aliotea nchi huru ya Visiwa vya Zanzibar. Katika azma hiyo alijikuta anawaingiza vijana wasomi katika…