Latest Posts
Kapinga : Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba
📌 Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza 📌 Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupigakura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili…
Waziri Mkuu apiga kura kijijini kwake Nandagala Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi Novemba 27, 2024. Akizungumza baada ya kupiga kura…
DC Chato aungana na wananchi kupiga kura
Na Daniel Limbe,Jamhuri Media Chato LEO ikiwa siku maalumu kwa wananchi wa Tanzania bara kupiga kura ili kuwachagua viongozi wao wa serikali ya mitaa,vijiji na vitongoji, Mkuu wa wilaya ya Chato,Louis Bura,ameungana na wananchi wa wilaya hiyo kupiga kura ili…