JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 32

Rais, Waziri Mkuu waligawa fukwe MAPENDEKEZO   622. (i) Tatizo la Sheria zinzogongana Cap. 378, Cap. 390, Cap. 334. na Act  Na. 8 ya 1982 ni la muda mrefu. Tume inapendekeza ufumbuzi upatikane haraka. Aidha sheria zinazotumika sasa ziendelee kufanyiwa…

Waziri Maghembe, Wakenya ‘wagongana’ Loliondo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, Januari 25 alifanya ziara fupi Loliondo wilayani Ngorongoro, Arusha. Malengo ya ziara hiyo yalikuwa kukagua vyanzo vya maji vilivyoharibiwa na maelefu ya mifugo kutoka ndani na nje ya nchi katika eneo la…

Ndugu Rais utufundishe kusali!

Ndugu Rais, tunasoma kuwa wanafunzi wa Bwana Yesu walimwomba Yesu, awafundishe kusali kama Yohana Mbatizaji alivyowafundisha wafuasi wake. Yesu akawajibu akisema, mnaposali semeni hivi, “Baba yetu uliye Mbinguni jina lako litukuzwe; ufalme wako uje, utakalolifanyike duniani kama mbinguni, utupatie leo chakula…

Mipango ya Benki ya Dunia inaathiri wakulima

Juma lililopita niliandika juu ya pengo kubwa lililopo kati ya matajiri na maskini. Leo nagusia maskini wa dunia hii, wakulima, na jinsi gani wao wanaandamwa na mikakati kabambe ya kuwaongezea umaskini. Taarifa ya hivi karibuni iliyochapishwa na Taasisi ya Oakland…

Neema na majanga ya usafiri wa Pikipiki

Biashara ya kusafirisha watu kwa njia ya pikipiki, maarufu kama bodaboda, imeleta neema na majanga sawia hapa nchini.  Biashara hiyo inaonekana kuwaneemesha wale wanaoiendesha, hususan vijana ambao wanazidi kuongezeka huku ajira kikiwa ni kitendawili kinachokosa mteguzi hata pale inapotolewa ahera…

Umaskini umekuwa mtaji wa ‘manabii wa uongo’

Kwanza, naomba nitangaze maslahi yangu kwenye makala hii. Nayo ni kwamba naamini Mungu yupo. Sijawahi kutilia shaka uwepo wa Muumba kwa sababu ni vigumu mno kuamini kuwa haya yote tunayoyashuhudia, kuanzia kwenye uumbaji, ni mambo yaliyojitokeza yenyewe tu! Haiwezekani. Mungu…