JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Ni Tanzania tu mzawa anaponyanyaswa na mgeni

Sasa hivi naitafuta Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – iwe ile ya zamani au hata hii mpya – ambayo haijapigiwa kura na kupitishwa na Watanzania. Tanzania ni moja kati ya mataifa yaliyokuwa na heshima sana kwa raia wake…

Mtikisiko Man U

Kocha Mkuu wa Manchester United, Louis Van Gaal hana amani tena katika timu hiyo. Amezungumza mambo mawili ambayo yamemshtua wikiendi iliyopita. Jambo la kwanza, ni kuthibitishwa na watu wake wa karibu kwamba Kocha machachari, Jose Mourinho ameteta na uongozi wa…

Jipu jipya

Ufisadi mpya na mwanya wa wizi wa mapato makubwa ya Serikali umebainika kufanywa kwenye uingizaji wa gesi, mafuta ya kula, mafuta ya magari na mafuta ya viwandani nchini kutokana na kupuuzwa kwa matumizi ya mita (flow meters). Katika eneo la…

‘Yaliyonikuta Precision Air’

Sauti nyororo ya mwana mama inapokea simu, na kabla sijasema lolote, nakaribishwa kwa maneno: “Precision Air, Can I Help You?” Baada ya kujua nazungumza Kiswahili, ananiuliza: “Nikusaidie…” Namjibu: “Naam, naomba kununua tiketi ya kwenda Musoma Jumanne tarehe 19, 2016…” Baada…

Tajiri kizimbani akituhumiwa kughushi nyaraka Moshi

Mfanyabiashara maarufu, Thobias Moshi (47), maarufu kwa jina la ‘Toby’ mkazi wa Shanty Town katika Manispaa ya Moshi, amefikishwa mahakamani akishitakiwa kwa makosa mawili ya kughushi nyaraka. Moshi, ambaye ni Mkurugenzi wa Mabasi ya Amazon na mmliki wa vitegauchumi Moshi…