Latest Posts
Mgogoro wa Israel na Palestina -7
Wiki iliyopita katika sehemu ya sita tulishuhudia mchango wa Uingereza katika mgogoro wa Israel na Palestina. Leo, tunakuletea sehemu ya saba ya makala hii inayosimulia mgogoro huo. Endelea… Norman Benwitch, Muyahudi-Mzayuni ambaye alishika wadhifa kwa muda mrefu katika ofisi…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 33
Taratibu za kupata hati ngumu Mwaka 1979 Dar es Salaam ilikuwa na maeneo 80 ya wazi kwenye Master Plan. Maeneo haya yalikuwa kwa manufaa ya umma – viwanja vya michezo, burudani, shule, masoko, zahanati na kadhalika. Hivi sasa maeneo hao…
Viongozi wa Serikali wanapojenga mnara wa Babeli Loliondo
Kiongozi bora hafinyangwi wala hachongwi, bali huzaliwa na karama ya uongozi. Kiongozi bora ni mtumishi wa umma anayeongoza watu kwa hekima na busara. Mtawala ni mheshimiwa kwa watawaliwa. Wapo baadhi ya wanadamu miongoni mwetu ambao kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu…
Ndugu Rais tukipuyanga mbuzi wa masikini hatazaa!
Ndugu Rais, wako watu walisema mbuzi wa masikini hazai. Wengine wakaongeza eti akizaa huzaa mwaka wa njaa! Ukiuliza ni akina nani hao wanaosema hivyo, utajibiwa eti ni wahenga ndiyo walisema. Sikubaliani nao hata kidogo. Busara za wahenga hazipishani na ukweli!…
Profesa Tibaijuka: Tumempata Rais mtetezi
“Rais Magufuli. Mtetezi wa Wanyonge na Wajane. Tunakushukuru. Tunakupongeza. Tunakuombea. Uzi uwe ule ule.” Wanawake hatuna budi kumshukuru na kumpongeza Rais John Magufuli, kwa kututetea sisi wajane tunaonyanyaswa na mifumo dume na kuporwa haki zetu na watoto wetu. Jana…
‘Siri ya utajiri wa Dk. Kigwangalla’
Nimeanzisha utaratibu wa kuandika ujumbe wenye kuhamasisha mabadiliko ya kifikra kwa vijana wa nchi yetu. Sababu ikiwa ni imani yangu kubwa kwamba hizi ni zama zetu kuchukua majukumu ya kuongoza mageuzi kwenye kila eneo la maisha ya jamii yetu. Kwenye…