JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Tulia apokea msaada kwa watoto wenye uhitaji maalumu

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akipokea alama ya Tasisi ya Human Relief Foundation kutoka kwa Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery.   NAIBU Spika Tulia Akson amepokea msaada wa vifaa mbalimbali…

WCB Wamtambulisha Mbosso WCB

WCB wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni msanii wao mpya, Mbosso.   BURUDANI ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto…

Diamond Avunja Ukimya Kuhusu Mimba ya Tunda

Diamond akifanya mahojiano maalum na Global TV online.   HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda. Interview ikiendelea. Akifanya mahojiano maalum ya Global TV Online, Diamond…

MWENDO WA SIMBA SC KAMA TREN YA STANDARD GAUGE

USHINDI iliyoupata Simba,Jana Jumapili wa mabao 4-0 dhidi ya Majimaji, umeifanya timu hiyo kujikita zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 35. Simba imepata ushindi huo kwa mabao mawili ya John Bocco aliyefunga dakika ya…

Hawa Hapa Washindi wa Tuzo za Grammy 2018

Rihanna na Kendrick Lamar kwenye Red Carpet ya Grammy Awards 2018. Hapa nimekuwekea orodha ya wasanii wote walioibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku wa kuamkia leo. • Bruno Mars ndiye alikuwa kinara kwa…

Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar…