Latest Posts
YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI
KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku…
UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM
Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya…
Rais Magufuli Akutana na Dkt. Slaa Ikulu
Rais Magufuli akifurahia jambo na Dkt. Slaa. RAIS Dkt. John Magufuli amempongeza Balozi mteule Dkt. Wilbrod Slaa kwa moyo wake wa kizalendo wa kukubali kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika taifa ambalo atapangiwa muda wowote kutoka sasa huku akijivunia…
UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM
Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya…
Nabii Tito Apandishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana
Onesmo Machibya almaarufu Nabii Tito aliyetengeneza vichwa vya habari kutokana na mahubiri yake ya kuhimiza ulevi na uasherati, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, na kusomewa mashtaka ya kujaribu kujiua. Nabii Tito alifanya jaribio la kujiua Januari 25, mwaka…
Dk Tulia apokea msaada kwa watoto wenye uhitaji maalumu
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akipokea alama ya Tasisi ya Human Relief Foundation kutoka kwa Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery. NAIBU Spika Tulia Akson amepokea msaada wa vifaa mbalimbali…