Latest Posts
UZALISHAJI WA CHAKULA NCHINI UMEIMARIKA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula nchini imeimarika na kufikia tani milioni 15.9 kwa msimu wa mwaka 2016/2017 na 2017/2018 sawa na kuwa na ziada ya tani milioni 2.6. Pia Serikali ya Awamu…
BAADA YA MZEE WENGER KUOMBA POO, ARSENAL YAMNYATIA GUARDIOLA
Taarifa zinaeleza kuwa Uongozi wa Arsenal umeanza kufanya mazungumzo ya kimyakimya na Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ili kuchukua nafasi ya Arsene Wenger. Hatua hiyo imekuja kufuatia Wenger kutangaza kuondoka Arsenal baada ya kuitumikia kwa miaka 22 akiwa Kocha…
YANGA YAJIANDAA KUIADHIBU MBEYA CITY KESHO
Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kikiwa mjini Mbeya leo. Tayari kikosi hicho kimeshaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mbeya kwa usafiri wa ndege ambapo kesho kitakuwa na kibarua…
SIMBA SC KAZINI LEO KUUMANA LIPULI FC
Kikosi cha Simba kinashuka dimbani Uwanja wa Samora mjini Iringa kikiwa mgeni dhidi ya Lipuli. Simba itakuwa inacheza bila kiungo wake Jonas Mkude ambaye atakosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Mkude atalazimika kusubiri mechi dhidi ya…
YANGA SC KUWA KWENYE KUNDI GANI? ITAJULIKANA LEO
Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya leo Aprili 21 2018. Jumla ya timu 16 zimeshatinga kuingia hatua hiyo baada ya michezo 16 kupigwa ndani ya wiki hii. Yanga…