Latest Posts
SERIKALI YABUNI PROGRAMU YA KUDHIBITI MAISHA YA KUBAHATISHA
NA CLEMENT MAGEMBE Upungufu wa ujuzi wa shughuli za uzalishaji mali, umetajwa kuwa chanzo cha vijana wengi ‘kuwekeza’ zaidi katika michezo ya kubahatisha ili kujipatia kipato. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na…
SAKATA LA MAGARI YA POLISI MASAUNI; NASUBIRI RIPOTI NIFANYE KAZI
NA MWANDISHI WETU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema kwamba amemwelekeza Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuunda tume mbili za uchunguzi kuhusu uagizwaji na uingizwaji wa magari ya Jeshi la…
TUNAHITAJI AMANI KWENYE KAMPENI
NA MICHAEL SARUNGI Katika chaguzi ndogo za udiwani zilizofanyika mwaka jana, kuliripotiwa uwepo wa vurugu kiasi cha kusababisha baadhi ya vyama vya siasa kususia chaguzi zilizofuata katika majimbo ya Songea Mjini na Singida Kaskazini. Taarifa za uwepo wa vurugu katika…
NDUGU RAIS TULITOKA KWA UDONGO TUTARUDI KWA UDONGO
Ndugu Rais, kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe darini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Bila kujali litakuwa na thamani ya kiasi gani, lakini jeneza litafukiwa chini, udongoni! Na hapo ndipo patakuwa utimilifu wa…
SUDAN KUSINI KUWEKEWA VIKWAZO VYA SILAHA
NA MTANDAO Jitihada zinazofanywa na jumuiya za kimataifa kukomesha mapigano nchini Sudan Kusini zinaonekana kukwama, hali inayoashiria huenda nchi hiyo ikajikuta ikiwekewa vikwazo vya silaha. Timu inayofuatilia suala la usitishwaji mapigano na inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa nchini humo,…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA 7
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Maendeleo ni kazi mwalimu alikuwa anazungumzia kuhusiana na sera ya Kuanzisha vijiji vya ujamaa na namna ya kuzingatia vipaumbele vya msingi katika kuwaletea maendeleo wananchi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa pale tulipo ishia wiki…