Latest Posts
Ajira kikwazo cha uchumi
Ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu ni miongoni mwa sababu zinazochangia uchumi wa nchi kuporomoka, huku vitendo vya uhalifu vikiongezeka katika jamii. Akizungumza na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Humphrey Moshi,…
Wastaafu walia na Swissport
Waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Kampuni ya mizigo Dahaco na baadaye Swissport Tanzania, wamelalamikia uongozi wa kampuni hiyo kwa kushindwa kuwalipa waliokuwa wafanyakazi wake 109, zaidi ya Sh bilioni 15 ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na stahiki…
Uzuiaji viroba sawa, mifuko ya plastiki nayo iunganishwe
Serikali imepiga marufuku utengenezaji na usambazaji pombe maarufu kwa jina la ‘viroba’ kuanzia Machi mosi, mwaka huu. Uamuzi huu umetokana na ukweli kuwa matumizi ya ‘viroba’ yalishavuka mipaka; na hivyo kuwa chanzo cha maovu na misiba nchini kote. Hatua hii,…
Ng’ombe 1,000 wanaliwa Dar kila siku
Ng’ombe 1,000 wanaliwa kila siku jiji Dar es Salaam. Takwimu hizo zimepatikana katika machinjio yote yaliyoko jijini. Hali hiyo imesababisha ongezeko la mapato kutoka Sh milioni 4 hadi Sh milioni 8 kwa siku katika Mnada wa Mifugo Pugu, nje kidogo…
Mwakyembe hawezi kuifuta TLS
Wiki hii nchi imeingizwa katika mjadala mrefu usio na tija. Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe nadhani amehemka tu, akasema ikibidi atakifuta Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS). Kauli ya Dk. Mwakyembe imetoka muda mfupi baada…
Mgogoro wa Israel na Palestina – 9
Madhumuni ya Mamlaka: Dhana ya Mamlaka za Kimataifa (International Mandates) zilichagizwa na Rais Wilson na viongozi wengine wa mapinduzi ya Russia na ukomo wa vita katika Vita ya Kwanza ya Dunia isingehusisha mmego wowote (annexation), lakini ingekatika katika Kanuni Kuu…