Latest Posts
Yah: Utafiti wangu katika mambo madogo madogo ya uswahili
Kuna watu wanaona kama maisha yamekuwa magumu kupitiliza, mimi nawaunga mkono kwamba maisha ya sasa ni shughuli pevu kwelikweli kutokana na ukweli wa mabadiliko ya sera. Tulianza kwa kushangilia hotuba mbalimbali za viongozi na matamko ambayo baadhi yetu hatukuelewa kwamba…
Nyakati tatu za dua kujibiwa (2)
Wiki iliyopita, katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilielezea kilio cha muda mrefu cha Watanzania kuhusu hali ya jamii kimaisha siyo nzuri na sheria za nchi hazifuatwi, kama ilivyoandikwa na gazeti moja nchini, mwaka 2013. Nilinukuu aya ya kwanza…
Kupata hati unaponunua ardhi ya kijiji kwa uwekezaji
K awaida hatimiliki (granted right of occupancy) hazitolewi kwa ardhi za vijijini. Ardhi za mijini ndizo zilizo na hadhi ya kupata hatimiliki. Lakini wapo watu ambao wamechukua maeneo ya vijijni kwa ajili ya uwekezaji. Wapo waliochukua ardhi kama wachimbaji…
Nahisi demokrasia yetu inahitaji fasili mpya (1)
Demokrasia inatafsiriwa kuwa: mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Tafsiri haina tatizo, lakini yapo mambo yanavyoweza kutokea ndani ya mfumo huo ambayo yanaweza kusababisha hitilafu kubwa. Kwa utaratibu wetu, kila baada ya miaka mitano vyama…
Yanga mguu sawa
Huku ikiendelea na harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’, yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani, Jijini, inaendelea na mikakati ya kushinda mechi yake na Zesco,…
Ridhiwani achunguzwa
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, anachunguzwa na vyombo vya dola kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, JAMHURI linathibitisha. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI na kuthibishwa na mamlaka mbalimbali, jina la mbunge huyo ambaye ni mtoto…