JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Arsenal kwanini?

Mashabiki wa Washika Bunduki wa England – Arsenal ‘the Gunners’, wana imani na timu yao, ndiyo maana katika mechi tatu za Ligi Kuu England, licha ya kutokuwa na matokeo ya kufurahisha, wamekuwa wakishangilia tu kwa kuimba “Tunaipenda Arsenal, Tunaipenda…” Kwa…

TBL jipu

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Tanzania Breweries Limited (TBL) na Darbrew Limited, yenye ubia na Kampuni ya SABmiller ya Afrika Kusini, inatumia udhaifu wa sheria nchini kukwepa kodi, uchunguzi wa Gazeti la…

JWTZ kuwakung’uta wahalifu

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imelikaribisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye mapambano dhidi ya majambazi na wahalifu wengine. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ameikaribisha JWTZ ili itumie misitu na mapori…

‘Mahekalu’ Masaki, Oysterbay kuvunjwa

Serikali imeamua kufuatilia kwa kina wakazi wa Dar es Salaam wanaomiliki viwanja ambavyo kwenye ramani za mipango miji vinaoneshwa kuwa ni maeneo ya wazi. Maeneo ambayo Serikali inayamulika ni yale yenye hadhi, umaarufu na thamani kubwa yaliyopo Oysterbay, Masaki, Mikocheni,…

Mkuu wa Mkoa K’njaro atangaza operesheshi sita

Mkuu wa Mkoa (RC) wa Kilimanjaro, Amos Makalla, ametangaza operesheni sita kabambe zikilenga kukomesha uhalifu, kuhimiza uwajibikaji, kulinda afya za wananchi na kutunza mazingira.  RC Makalla alitangaza operesheni hizo kwenye kikao cha kazi kilichowahusisha wakuu wa wilaya zote za Mkoa…

Mbarali ‘wafunikwa’ tena fidia ya makazi

Wananchi 3,113 wa Mbarali mkoani Mbeya, waliohamishwa katika vijiji vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kupunjwa fidia za maeneo yao, wamesema Serikali imeendelea kuwahadaa kuhusu madai yao. Mwishoni mwa mwaka jana, Gazeti la JAMHURI liliripoti mgogoro…