Latest Posts
Utamaduni ulindwe
Mamlaka husika zimetakiwa kuwa makini katika kuhakikisha zinatengeneza mazingira rafiki kwa wasanii wa nyimbo za asili, ambao wapo wachache kutokana na ukosefu wa soko katika burudani hiyo. Imebainika kuwa baadhi ya wasanii wanaofanya sanaa za utamaduni ikiwamo ngoma, nyimbo za…
ZFA sasa tunaekelea FIFA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewatoa hofu wapenzi wa michezo nchini kwa kusema kuwa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kuwa mwanachama wa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika hakuwezi kudhoofisha uhusiano mzuri uliopo kati ya TFF na ZFA. Akizungumza…
Unga unavyosafirishwa
Kampuni ya Usafirishaji wa Vifurushi (DHL) imeelezwa kutumiwa na wafanyabiashara haramu ya dawa za kulevya, kwa kusafirisha dawa hizo ndani na nje ya nchi. Vyanzo vya habari vya uhakika vimeliambia JAMHURI kuwa wauza unga wamekuwa wakitumia kampuni ya DHL kusafirisha…
Bodi ya Ununuzi na Ugavi yawafunda viongozi
Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka taasisi ya Uongozi, Mafunzo ya Uongozi, kwa viongozi wa vyama vya wanafunzi wa vyuo kadhaa hapa nchini wanaosomea fani ya ununuzi na ugavi. Mafunzo hayo ya siku…
Meneja MPRU awatisha wafanyakazi
Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu, analalamikiwa kwa kuendeleza ubabe kwa wafanyakazi wa chini yake, huku akiendelea kuwahamisha vituo vya kazi kwa madai kwamba wanatumikia adhabu. Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo…
BoT yaleta ahueni kwa wakopaji
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha riba ya mikopo ya fedha inayoyakopesha mabenki ya kibiashara nchini kutoka asilimia 16 ya awali hadi asilimia 12. Katika barua yake yenye kumb.GA.302/389/01 Vol VII ya Machi 3,2017, Naibu Gavana wa Benki Kuu, Dk….