JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kwaheri Sir George

Wiki iliyopita mmoja wa wapigania uhuru na wanampinduzi wa kweli, Sir George Kahama amefariki dunia. Kifo cha Sir George kimefanya idadi ya waasisi waliokuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri la Kwanza la Tanganyika huru kufikia 10. Jumla walikuwa 11. Kwa…

Mawasiliano serikalini changamoto

Rais John Magufuli amefuta agizo la kutofungishwa ndoa kwa watu wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kuanzia Mei mwaka huu lililotolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe.  Rais Magufuli amewatoa hofu Watanzania na kuwataka…

Ndugu Rais umasikini wa Tanzania ni kama wa kulogwa

Ndugu Rais, yanayoandikwa katika ukurasa huu hayalengi kumpendeza mtu wala kumchukia mtu. Nchi yangu kwanza ndiyo dira; watu, vyama vya siasa na mengine baadaye! Hachukiwi mtu hapa kwa sababu imani ya ukurasa huu ni kwamba kila mtu ameumbwa kwa mfano…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 37

Uvuvi ni vurugu tupu   B: Idara ya Uvuvi  697. Samaki ni moja ya maliasili muhimu kwa afya na uchumi wa taifa. Samaki wanapatikana katika mito, maziwa, mabwawa na baharini. Kwa kuzingatia umuhimu wa maliasili hii serika ilitunga sheria ya…

La Lissu Wanasheria wamezungumza!

Wiki iliyopita Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshinda urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika. Ushindi wa Lissu umetokea baada ya matukio kadhaa, ikiwamo kukamatwa na kufikishwa mahakamani saa 24 kabla ya uchaguzi. Si hiyo…

La Lissu Wanasheria wamezungumza!

Wiki iliyopita Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshinda urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika. Ushindi wa Lissu umetokea baada ya matukio kadhaa, ikiwamo kukamatwa na kufikishwa mahakamani saa 24 kabla ya uchaguzi. Si hiyo…