Latest Posts
Yah: Ndoto yangu usiku wa manane katika kirago chakavu
Nimelala usingizi wa taabu na mawazo mengi yasiyo na tija, ninawaza kesho nitakula nini, ninawaza wanangu wataendaje shule siku ifuatayo, si kwa vile nalipa ada, la hasha, kwa vile hawana kifungua kinywa, hawana madaftari wala kalamu, mama chanja ananikumbusha madeni…
Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania – 2
Wiki iliyopita katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilinakili baadhi ya maandishi kutoka kijitabu ‘TUJISAHIHISHE’, kichoandikwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, kuhusu unafsi unavyovunja madhumuni ya umoja wa kundi lolote la binadamu. Shabaha za kunakili maandishi yale ni…
Tupunguze waheshimiwa Tanzania
Neno ‘mheshimiwa’ limekosa heshima inayokusudiwa. Ni tatizo linalotokana na ukarimu mkubwa uliopo Tanzania uliosababisha kuwapo kwa idadi kubwa ya ‘waheshimiwa’ wa kila aina. Kwenye kamusi neno hilo lina maana ifuatayo: “neno la heshima linalotamkwa kabla ya kutaja jina la mtu…
Kufungwa ofisi TFF kunaathiri timu
Siku chache baada ya Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, wakala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuzifunga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushindwa kulipa kodi, wadau wamesema hali hiyo inaweza kuchangia kudhoofisha ushiriki…
Uchunguzi wa Bashite
Sakata la vyeti feki linalomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lina sura nyingi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Pamba Sekondari JAMHURI limefika katika Shule ya Sekondari ya Pamba, iliyoko jijiji Mwanza na kufanya mahojiano na Mkuu…
Zanzibar watafiti mafuta, gesi
Na Dk. Juma Mohammed Utafiti wa uchimbaji wa mafuta na gesi asilia unaweza kuzidisha umaarufa wa Visiwa vya Zanzibar ambavyo vimetajwa na waandishi wengi wa vitabu na hata watu wengine mashuhuri waliopata kuvitembelea visiwa hivi kwa miaka mingi iliyopita. Ugunduzi…