JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wakubwa wahujumu tanzanite

Mwekezaji katika mgodi wa uchimbaji wa madini ya tanzanite na mmiliki wa Kampuni ya TanzaniteOne Mining Ltd, anadaiwa kufanya hujuma katika biashara ya madini nchini. Mwekezaji huyo ambaye anamiliki asilimia 50 ya mgodi huo anaelezwa kufanya hujuma ya kutorosha madini…

Polisi ‘waua’ mahabusu Moshi

Askari wa Kitengo cha Intelijensia katika Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wanatuhumiwa kumpiga na kumuua ndani ya mahabusu, mtuhumiwa Virigili Ludovick Mosha (52). Moshi alikuwa mkazi wa Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini….

Wakuu wa mikoa sasa chapeni kazi

Rais John Magufuli, ameshatangaza wakuu wa mikoa yote 26 ya Tanzania Bara. Kwenye uteuzi huo kuna sura mpya, na sura nyingine zilizozoeleka. Tunawapongeza kwa imani ambayo Rais Magufuli ameionyesha kwao. Kama ilivyokuwa kwa wateule wengine, Watanzania hawatarajii kuona wateule hawa…

Uchaguzi hauna maana Afrika

Kwa  maana yake halisi uchaguzi ni njia ya msingi ya jamii ya kujipatia viongozi kidemokrasia. Sifa mojawapo ya uchaguzi wa kidemokrasia au wa huru na haki ni uchaguzi kufanyika kwa siri. Sifa nyingine ni uchaguzi kufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka,…

Kashfa mpya Bandari

Bandari ya Dar es Salaam imetumbukia tena katika kashfa, baada ya viongozi wake kutajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa. Mgogoro mkubwa unafukuta bandarini hapo, kutokana na zabuni AE/016/2012/DSM/NC/01B ya kutoa huduma za kupakua na kupakia…