JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tupunguze waheshimiwa Tanzania

Neno ‘mheshimiwa’ limekosa heshima inayokusudiwa. Ni tatizo linalotokana na ukarimu mkubwa uliopo Tanzania uliosababisha kuwapo kwa idadi kubwa ya ‘waheshimiwa’ wa kila aina. Kwenye kamusi neno hilo lina maana ifuatayo: “neno la heshima linalotamkwa kabla ya kutaja jina la mtu…

Kufungwa ofisi TFF kunaathiri timu

Siku chache baada ya Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, wakala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuzifunga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushindwa kulipa kodi, wadau wamesema hali hiyo inaweza kuchangia kudhoofisha ushiriki…

Uchunguzi wa Bashite

Sakata la vyeti feki linalomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lina sura nyingi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini.   Pamba Sekondari JAMHURI limefika katika Shule ya Sekondari ya Pamba, iliyoko jijiji Mwanza na kufanya mahojiano na Mkuu…

Zanzibar watafiti mafuta, gesi

Na Dk. Juma Mohammed Utafiti wa uchimbaji wa mafuta na gesi asilia unaweza kuzidisha umaarufa wa Visiwa vya Zanzibar ambavyo vimetajwa na waandishi wengi wa vitabu na hata watu wengine mashuhuri waliopata kuvitembelea visiwa hivi kwa miaka mingi iliyopita. Ugunduzi…

Kwaheri Sir George

Wiki iliyopita mmoja wa wapigania uhuru na wanampinduzi wa kweli, Sir George Kahama amefariki dunia. Kifo cha Sir George kimefanya idadi ya waasisi waliokuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri la Kwanza la Tanganyika huru kufikia 10. Jumla walikuwa 11. Kwa…

Mawasiliano serikalini changamoto

Rais John Magufuli amefuta agizo la kutofungishwa ndoa kwa watu wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kuanzia Mei mwaka huu lililotolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe.  Rais Magufuli amewatoa hofu Watanzania na kuwataka…