Latest Posts
Aliyekamatwa na Mabilioni Airtport Aachiwa Huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha kiasi cha TZS bilioni 2, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKNIA), baada ya kulipa faini ya…
Joshua Nassari Apandishwa Kortini kwa Kumpiga Diwani
Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kusomewa shitaka linalomkabili. Katika kesi hiyo, Nassari anakabiliwa na tuhuma za kumshambulia na kumsababishia maumivu kwa aliyekuwa Mtendaji wa…
Mahakama Yaagiza Nabii Titto Apime Upya Akili
MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kuriridhisha kama ana matatizo ya akili….
Rasilimali za Tanzania na Umaskini wa Watanzania
Na William BHOKE Mwanza Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi ninaamini falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo. Mwezi…
‘BUNDI’ WA MGOGORO WA ARDHI ATUA ARUSHA
Na Charles Ndagulla, Arusha Halmashauri ya Jiji la Arusha imezidi kuandamwa na tuhuma za ugawaji holela wa ardhi inayomilikiwa na watu wengine, hivyo kuzidisha kero na malalamiko kutoka kwa wananchi. Hali hiyo imebainika ikiwa ni takribani wiki moja baada ya…
TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO
Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa…