Latest Posts
Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza, ikivuka lengo la awali la makusanyo ya shilingi bilioni 247 katika sekta ya madini. Akizungumza wakati wa mjadala wa mafanikio ya serikali…
SMZ kuwekeza miundombinu ya afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali amesema Serikali imeweka uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Afya kutokana na umuhimu wa sekta hiyo kwa jamii. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Meneja Mwandamizi wa Mfuko…
Korea Kaskazini yalipua barabara kwenda Kusini
Korea Kaskazini leo imelipua sehemu ya barabara zisizotumika ambazo awali ziliunganisha kwenda Korea Kusini huku mataifa hayo pinzani yakitishiana siku chache baada ya Kaskazini kudai mpinzani huyo alirusha ndege zisizokuwa na rubani katika anga la mji mkuu wake, Pyongyang. Kiongozi…
Serikali kufanya uwekezaji kukuza sekta ya TEHAMA nchini
Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akizungumza jambo leo Oktoba 15, 2024 wakati akifungua Kongamano la nane la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) linalofanyika kuanzia Oktoba 13 – 17, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa…
Mkuu wa Majeshi awavisha nishani majenerali, maafisa askari JWTZ
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ jijini Mwanza tarehe 15 Oktoba…
Makonda ahimiza wananchi kujiandikisha kushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wa Mkoa wa Arusha kuendelea kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi ili kuweza kupata sifa za kushikiri kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadae Novemba 27…