Latest Posts
Rais Magufuli muulize Mkapa kodi
Leo naandika makala hii baada ya Taifa kuwa limepata mapigo makubwa mawili. Pigo la kwanza ni vifo vya wanafunzi 32 wa Shule ya Msingi St. Lucky Vincent, walimu wawili na dereva mmoja. Sina hakika siku ya mazishi ya kitaifa ya…
Wananchi wampinga mwekezaji
Kumeibuka mgogoro wa ardhi, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara kati ya uongozi wa wilaya hiyo na wakazi wa Kijiji cha Bisarwi, kudai kuwa wanataka kupokonywa mashamba yao na kupewa mwekezaji kwa ajili ya kilimo cha miwa na kujenga kiwanda cha sukari….
Nakutambua, nitambue (2)
Wiki iliyopita, nilitaja thumni ya mali na rasilimali zote nilizonazo juu na chini ya ardhi na baharini. Utajiri huo mkubwa unanipa hadhi na heshima ya kukimbiliwa na majirani na marafiki zangu. Si kufuata mali tu, bali pia kufuata maongezi, ucheshi,…
Yah: Kasi ya hapa kazi tu bajeti zinasomwa kila mwezi ndani ya familia
Watu wengi wanasifu kasi ya kaulimbiu ya Serikali ya Awamu ya Tano ya ‘hapa kazi tu’, na kweli inaonekana kuna kazi inafanyika, matokeo chanya yanaonekana dhahiri bila shayiri na kwamba kwa kasi hii baada ya miaka mitano kutakuwa na kitu…
Sozigwa kafariki akidai mafao
Buriani Paulo Sozigwa, umetangulia mbele ya haki bila kupata mafao yako ambayo umeyadai kwa miongo kadhaa. Sozigwa amefariki Ijumaa ya wiki iliyopita, jijini Dar es Salaam. Paul sozigwa amefariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya…
Mfumo wa kuwapata wabunge EALA haufai
Tumewapata Watanzania kenda ambao kwa miaka mitano ijayo watatuwakilisha kwenye Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Waliochaguliwa ni Fancy Nkuhi (CCM), Happiness Legiko (CCM), Maryamu Ussi Yahya (CCM), Dk. Abdullah Makame (CCM), Dk. Ngwaru Maghembe (CCM), Adam Kimbisa (CCM), Habib Mnyaa…