JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TANZIA: MWANASIASA TAMBWE HIZZA AMEFARIKI DUNIA

  TANZIA Mwanasiasa Tambwe Hizza amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Tambwe Hizza alikuwa katika timu ya waratibu wa kampeni za mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu.

WATU ZAIDI YA 20 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA NCHINI SYRIA

Takriban watu 23 wameuawa hadi sasa katika mashambulio ya anga ya vikosi vya serikali nchini  Syria katika eneo la mashariki mwa Ghota karibu na mji wa Damascus, kuna kodaiwa kuwa ni ngome ya waasi. Waangalizi wa haki za binadamu kutoka…

KOREA KASKAZINI KUONYESHA UIMARA WA JESHI LAKE KABLA YA OLIMPIKI

Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini. Gwaride la kila mwaka la Pyongyang linaloadhimisha kuanzishwa kwa jeshi la Korea Kaskazini limekuwa…

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEKELEZA MWONGOZO WA HUDUMA KWA WATUMISHI WA UMMA WENYE ULEMAVU

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa…

POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA

KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa. Amesema kuwa…

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Alhaamisi Februari 8, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Februari,8, 2018 nimekuekea hapa