Latest Posts
Tumejipangaje kuzuia matumizi ya mkaa?
Awali ya yote nianze makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kwa rehema zake nyingi anatujalia afya njema na amani katika Taifa letu. Mei 15, mwaka huu kupitia “dondoo za magazetini” (Radio Tumaini kipindi cha “Hapa na Pale” ilielezwa kwamba…
Hakuna mtalii wa kuja kuwaona punda-vihongwe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, wakati wowote wiki hii, anatarajiwa kuwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018. Kama ilivyo ada, Wizara ya Maliasili na Utalii ni miongoni mwa wizara chache zenye mvuto,…
Yah: Safari ni ndefu lakini ina kila dalili ya mafanikio
Kila nikifikiria safari ilivyo, naona kama tupo mbali sana kufika mwisho, tupo njiani kwa safari ambayo hatima yake huenda tukafika salama na tukiwa na afya njema kabisa. Leo nimewaza mengi sana na nimekumbuka mengi sana; sina hakika kama mwishowe yatakuwa…
Amani na utulivu katika Tanzania
"Tukiulizwa na wenye kiburi na fidhuli ya wingi wa mali; mna nini, nyinyi Watanzania? Tunaweza kujibu, si kwa fidhuli, lakini kwa fahari kabisa: tuna umoja na amani; vitu ambavyo havinunuliki kwa kiasi chochote cha fedha. "Tuna haki ya kujivunia umoja huu…
Sheria imeruhusu kudai zawadi uchumba unapovunjika
Una mahusiano na mwanaume au mwanamke ambaye kimsingi mpo katika uchumba. Unampa zawadi nyingi naye anakupa zawadi. Mnayo ahadi ya kufunga ndoa na kuishi kama mume na mke. Na kwa sababu hiyo, unajitoa sana kimatumizi kwa mtu huyo. Lakini katika…
Mwalimu Nyerere niliyemjua (4)
3.7: Nyerere na huduma za Jamii. Ukuu wa Uzalendo,Uadilifu na Utaifawa Julius K. Nyerere pia unajidhihilisha katika eneo la huduma za jamii – Afya, elimu na maji. Kupitia hotuba yake aliyoitoa Bungeni tarehe 29 Julai, 1985, kuhusu elimu na afya;…