JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwafrika bado “Le Grande Enfante” (2)

Ghafla juzi juzi wakati Waziri Mkuu keshatoa hotuba yake kuomba fedha kwa ofisi yake, nikashtuka kusikia kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, badala ya kutoa hotuba mbadala wa ile ya Waziri Mkuu, eti ameongea kwa dakika chache tu…

Video iliyonitoa machozi

Muda ni saa 3:35 usiku wa Ijumaa ya wiki iliyopita. Nimejipumzisha barazani baada ya kupambana na foleni za Dar es Salaam. Simu yangu inaashia kuingia kwa ujumbe wa WhatsApp. Nafungua na kuanza kuusoma: “Kuna njia gani ya kuwapata hawa wanaume…

Wabunge na ulimi wa pilipili

Wasia nnautoa, baba alivyonambia. Nieleze sawa sawa, nanyi mpate sikia. Wa kwaonya enyi sawa, inafaa kusogea. Jambo la kwanza kasema, majivuno hayafai Muovu mtendee wema, japo mtu humnunui Mjivuno ni hasama, yanaleta uwadui. Dini ni jambo la pili, baba alivyonambia,…

Yah: Heshima itarudi, wanaoweweseka ni wale wachache, wezi

Kwanza nianze kwa kupongeza juhudi kubwa inayofanywa na viongozi wachache wenye moyo wa uzalendo na Taifa hili, pili niwapongeze Watanzania wengi ambao mnaunga mkono juhudi hizo pasi na kununuliwa na watu wachache, ambao wao walidhani nchi hii ni yao na…

Wajasiriamali na uwezo wa kupunguza rushwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni kuhudhuria mkutano wa viongozi wa dunia kujadili tatizo la rushwa.  Tatizo la rushwa lipo katika kila pembe ya dunia na ni mojawapo ya matatizo ambayo Serikali ya Rais John Magufuli…

Uozo kwa Aveva unamtakatisha Rage Simba

Hakuna asiyefahamu kuwa kwa sasa ndani ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam hali si shwari, kutokana na aina ya matokeo inayoyapata timu hiyo kwa msimu minne sasa. Simba imeshindwa kabisa kupata matokeo mazuri kutoka kwa Rais wa sasa…