Latest Posts
ANGALIA MADHARA YA KUJIPIGA PICHA MWENYEWE (SELFIE) UKIWA KWENYE MAENEO YA HATARI
Mwanamke mmoja amefariki akipiga picha aina ya Selfie na rafikiye katika barabara ya treni nchini Thailand. Rafikiye alisema kuwa walikuwa wamekunywa pombe na kuamua kujipiga picha hiyo na treni lakini hawakuona treni nyengine iliokuwa ikija kutoka barabara nyengine ya treni,…
HATMA YA RAIS JACOB ZUMA KUNG’ATUKA MADARAKANI KUJULIKANA LEO
Kiongozi wa Chama tawala nchini Afrika kusini cha ANC Cyril Ramaphosa amethibitisha kuwa chama kitafanya uamuzi wa mwisho juu ya hatma ya Rais Jacob Zuma. Akizungumza kaika mkutano wa hadhara mjini Cape Town, Ramaphosa amedokeza kuwa Rais Zuma atatakiwa…
CHADEMA : Mawakala wetu wamenyimwa viapo Kinondoni
Jana ilikuwa ndiyo siku ya kuwatambulisha na kuwaapisha mawakala kwa ajili ya Uchaguzi wa Marudio Jimbo la Kinondoni, Mawakala wa CHADEMA wamekataliwa kuapishwa. Awali tulibaini tatizo hilo Kata ya Hananasif ambapo Mtendaji wa Kata aitwae Richard Supu (0655998777), aligoma kuwaapisha…
SIMBA SC YAREJEA KIMATAIFA KWA KISHINDO, YAIBEBESHA FURUSHI LA MAGOLI GENDERMARIE YA DJIBOUTI
SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba yalifungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji…
ZAMU YA SIMBA SC LEO KUONESHA MAKUCHA YAKE KWENYE MICHEZO YA KIMATAIFA
SIMBA SC inarejea kwenye michuano ya Afrika leo baada ya miaka minne, itakapomenyana na Gendarmerie Tnale ya Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanbja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo….