Latest Posts
Majivuno ni jeraha lisiloponyeka katika maisha
Tendawili: Tega! ‘Ananifanya nichukiwe na kila mtu.’ Jibu ni ‘Majivuno’. Majivuno ni jeraha lisiloponyeka katika maisha. Ni donda ndugu. Machi, 12-16 Agosti, 2013, Jarida la ‘New People’ la nchini Kenya, lilichapisha makala yangu iliyokuwa inasema, ‘Holy family’’. Padre Erickson Wangai…
Ripoti ya Kamati ya Pili ya Madini
Muhtasari wa ripoti ya kamati maalum ya kuchunguza masuala ya kisheria na kuichumi kuhusiana na mchanga wa madini unaosafirishwa nje ya nchi. Utangulizi Mheshimiwa Rais, Kama ambavyo Watanzania watakumbuka tarehe 10 April 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
Ndugu Rais hapa umekandamiza mwanawane
Ndugu Rais, sasa naanza kuwaelewa wanawema wengi wanaosema mengi yaliyoandikwa katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu au ni utabiri au ni unabii! Tumwachie Muumba afanye kazi yake. Unaweza pia ukawa mfano wa mcheza bao hodari! Nasukumwa sasa kuwaelewa vema,…
Ofisi ya Waziri Mkuu kuwainua vijana
Katika mikakati ya kuinua uchumi wa nchi na mikakati ya uanzishaji wa viwanda, Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu imetoa mafunzo kwa vijana 9,120 katika fani mbalimbali na kukuza…
Paulo Sozigwa hakustahili kutendewa namna ile (3)
Duniani sisi watoto wote wa Adam na Hawa tumerithi woga wa kuamua mambo. Ili kukwepa lawama, tunasukumia wengine tatizo ili sisi tuonekane tu wasafi. Tabia hii ya kukwepa kuwajibika binadamu tumeirithi toka kwa Adam na Hawa (Eva) pale bustani ya…
Tuwaogope waporaji kwa kuwa ni Wazungu?
Wamarekani wanaweza kuwa na tofauti zao za ndani, lakini linapokuja suala linalohusu maslahi ya taifa lao huungana na kuwa wamoja. Ndivyo nchi inavyopaswa kuwa. Waasisi wa taifa letu walitambua thamani ya umoja na mshikamano wa wananchi. Wakautambua umoja kama moja…