JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CCM, CHADEMA Jiandaeni Kisaokolojia

Wiki hii unafanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni, Dar es Salaam na Siha, Kilimanjaro. Uchaguzi huu umeitishwa kutokana na waliokuwa wabunge Godwin Mollel (CHADEMA) na Maulid Mtulia (CUF) kuhama vyama vyao wakajiunga na CCM baada ya kuvutiwa na utendaji…

Mauricio asema Kane ni ‘jembe’ la Spurs

Ushindi wa goli moja la Tottenham dhidi ya Arsenal wiki iliyopita, linamshawishi Meneja wa timu hiyo, Mauricio Pochettino kumtaja mfungaji wake, Harry Kane kuwa ni ‘jembe’ la sasa na baadaye kwa timu hiyo. Akitumia urefu wake, Kane aliiwezesha timu yake…

Jacob Zuma Apewa Masaa 48 Kung’atuka Madarakani

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo. Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha…

CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, DIWANI WAKE AJIUNGA CCM

Diwani wa Hayderer (Chadema) wilayani Mbulu mkoani Manyara, Justin Masuja amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM. Masuja amejiunga na CCM jana Februari 12,2018 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti. Katika mkutano wa hadhara, Mnyeti aliwataka…

GOFU LUGALO YATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MAJESHI YASHINDA NIGERIA

Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia…